MHE. BALOZI GELASIUS G. BYAKANWA AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAMHURI YA BURUNDI.
Tarehe 23.10.2025 Mhe. Gelasius G. Byakanwa, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Burundi alifanya mazungumzo na Mhe. Balozi Edouard Bizimana, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Burundi… Read More








