WAZIRI WA ULINZI WA BURUNDI AFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA.
Tarehe 10.6.2025 Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Stergomena L. Tax na Waziri wa Ulinzi na Veterani wa Vita wa Burundi, Mhe. Alain T. Mutabazi, wamesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya Ushirikiano… Read More